Quantcast
Channel: Habari za Nyumbani – Jambonewspot.com
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7491

Video: Watch how GSU Brutally Beat up a Boy in Kenya

$
0
0

Hisia tofauti zimepokelewa kuhusiana na matukio ya maafisa wa GSU katika kambi ya Kirita huko Transzoia ambao walinaswa na kamera ya siri wakimshambulia kijana mmmoja mdogo kwa kumpa kichapo cha mbwa kwa madai ya kuiba mifugo. Ajabu ni kwamba kamishna wa polisi Mathew Iteere amekanusha uhalisia wa picha hizo na kusema kuwa hayo yalikuwa ni matukio ya mwaka wa 2009. Mohammed Ali anatuarifu zaidi.

The post Video: Watch how GSU Brutally Beat up a Boy in Kenya appeared first on Jambonewspot.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 7491

Trending Articles